Skip to content

Latest commit

 

History

History
13 lines (9 loc) · 407 Bytes

README.md

File metadata and controls

13 lines (9 loc) · 407 Bytes

Nyaraka rasmi za Nuru

Hii ni hazina inayobeba nyaraka rasmi za nuru. Kuweza kuifungua katika tarakilishi yako, hakikisa umesandikisha Node.js v16+. Katika terminal yako tumia command ifuatayo ambayo itasandikisha dependencies za hazina hii;

npm i

Ikishamaliza kusandikisha, tumia command ifuatayo kuanzisha hazina hii iliuweze kuifungua kwenye browser yako.

npm run docs:dev